Shughuli za kiutamaduni zafanyika kwenye Jukwaa la Russia na China mjini Khabarovsk, Russia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 21, 2025
Shughuli za kiutamaduni zafanyika kwenye Jukwaa la Russia na China mjini Khabarovsk, Russia
Mtalii akipiga picha mbele ya muundo wa sanaa unaoashiria urafiki kati ya China na Russia kwenye "Jukwaa la Russia na China" mjini Khabarovsk, Russia, Mei 20, 2025. (Picha na Guo Feizhou/Xinhua)

"Jukwaa la Russia na China" la siku mibli limefanyika Jumatatu na jana Jumanne katika mji wa Khabarovsk nchini Russia, ukivutia washiriki zaidi ya 3,000, wakiwemo wajasiriamali, maafisa wa serikali, wataalamu wa viwanda na wasomi kutoka nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha