Maonyesho ya 9 Kimataifa ya Njia ya Hariri yaanza mjini Xi'an, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2025
Maonyesho ya 9 Kimataifa ya Njia ya Hariri yaanza mjini Xi'an, China
Watembeleaji maonyesho wakifahamishwa kuhusu bidhaa za chai kutoka Mkoa wa Hubei kwenye Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Njia ya Hariri pamoja na Jukwaa la Uwekezaji na Biashara la Ushirikiano kati ya maeneo ya mashariki na magharibi ya China vinavyofanyika Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Mei 21, 2025. (Xinhua/Li Yibo)

XI'AN - Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Njia ya Hariri pamoja na Jukwaa la Uwekezaji na Biashara la Ushirikiano kati ya maeneo ya mashariki na magharibi ya China vinavyofanyika Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha