

Lugha Nyingine
Shughuli za kiutamaduni kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya viwanda vya Kiutamaduni ya China zavutia watembeleaji vijana
Yakiwa yalifunguliwa Alhamisi iliyopita mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya viwanda vya Kiutamaduni ya China (Shenzhen) yamekuwa yakifanyika mjini humo katika kumbi nane za maonyesho – sehemu tatu jumuishi na maeneo matano yenye kuonyesha mambo maalumu. Shughuli zinazohusiana na utamaduni wa jadi na urithi wa kiutamaduni zimekuwa zikivutia watembeleaji maonyesho wengi vijana.
Shughuli za kiutamaduni zafanyika kwenye Jukwaa la Russia na China mjini Khabarovsk, Russia
Miti ya jacaranda katika mchanuo wa maua yavutia watalii mjini Kunming, China
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma