

Lugha Nyingine
Bw. Wang Yi akutana na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi jana Jumanne kwa nyakati tofauti alikutana na baadhi ya wenzake wa nchi za Afrika waliokuja China kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Mawaziri wa Waratibu kuhusu Utekelezaji wa Hatua Fuatiliaji za Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) mjini Changsha, mkoani Hunan.
Mawaziri hao wa mambo ya nje ni pamoja na Bw. Musalia Mudavadi wa Kenya, Bw. Yassine Fall wa Senegal, Bw. Mahmoud Thabit Kombo wa Tanzania, Bw. Selma Ashipala-Musavyi wa Namibia, Bw. Phenyo Butale wa Botswana na Bw. Tete Antonio wa Angola.
Kwenye mikutano hiyo na mawaziri hao wa Afrika, Bw. Wang Yi amesema mkutano huo wa mawaziri ni mkusanyiko wa China na nchi za Afrika, na kwamba utaimarisha mshikamano wa nchi hizo katika Dunia ya Kusini.
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma