Rais wa China aenda Kazakhstan kuhudhuria Mkutano wa Pili wa Kilele wa China na Nchi za Asia ya Kati

(CRI Online) Juni 16, 2025

Rais Xi Jinping wa China ameondoka Beijing leo Jumatatu na kuelekea mjini Astana, Kazakhstan ili kuhudhuria Mkutano wa Pili wa Kilele wa China na Asia ya Kati.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha