Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Xiang'an waendelea kujengwa mjini Xiamen, Fujian, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 18, 2025
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Xiang'an waendelea kujengwa mjini Xiamen, Fujian, China
Picha iliyopigwa tarehe 9 Juni 2025 ikionyesha eneo la ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Xiang'an mjini Xiamen, Mkoani Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Wei Peiquan)

Ujenzi unaondelea wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Xiang'an mjini Xiamen, Mkoani Fujian, kusini mashariki mwa China unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu na utaanza kutumika rasmi mwishoni mwa mwaka 2026. Wakati huo, uwanja huo wa ndege utakuwa na uwezo wa kupitisha abiria milioni 45 kwa mwaka, mizigo na vifurushi vya uzito wa tani 750,000, na ndege 380,000. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha