

Lugha Nyingine
Uokoaji waendelea katika wilaya zilizoathiriwa na mafuriko za Mkoa wa Guizhou, China (7)
![]() |
Mtu akiendesha tingatinga kusafisha mtaa katika Wilaya ya Congjiang, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Juni 25, 2025. (Picha na Wu Xingke/Xinhua) |
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha na mitiririko ya maji ya mito kutoka maeneo ya miinuko imesababisha mafuriko makubwa katika wilaya mbili za Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, ikisababisha kuhamishwa kwa makazi watu wengi.
Hadi kufikia saa 8:30 mchana juzi Jumanne, wakaazi 48,900 walikuwa wameshahamishwa kwa muda katika Wilaya ya Rongjiang na 32,000 katika Wilaya ya Congjiang huku mwitikio wa dharura wa kudhibiti mafuriko ukiwa umepandishwa hadi Kiwango cha I, cha juu zaidi, katika wilaya zote hizo mbili.
Bustani ya Kimataifa ya Pump Track ya Shenyang, China: Utambulisho Mpya wa Michezo Mjini
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma