Picha: Mandhari ya mbuga katika majira ya joto mkoani Gansu, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2025
Picha: Mandhari ya mbuga katika majira ya joto mkoani Gansu, China

Kwa sasa ni kipindi cha katikati mwa majira ya joto nchini China, ambapo mbuga za Sangke, zinazopatikana katika Wilaya ya Xiahe, Eneo linalojiendesha la Kabila la Watibeti la Gannan, Mkoa wa Gansu nchini China, zimeingia katika wakati wa kupendeza zaidi wa mwaka.

Mbuga hizo za Sangke ziko kwenye wastani wa mwinuko wa mita 3,000 kutoka usawa wa bahari, zikiwa kama zulia kubwa la kijani kati ya mbingu na ardhi. Makundi ya mifugo ya ng’ombe na mbuzi hutembea polepole, ikionesha picha ya mapatano ya mazingira ya asili. (Picha na Xi Juanjuan/People’s Daily Online)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha