Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 wafunguliwa Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 03, 2025
Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 wafunguliwa Beijing
Jean Tirole, Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Uchumi, akizungumza kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 mjini Beijing Julai 2, 2025. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Ukiwa na kaulimbiu ya "Kujenga Miji Rafiki ya Kidijitali", Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 umefunguliwa rasmi Beijing jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha