Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 wafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 03, 2025
Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 wafunguliwa Beijing
Picha hii iliyopigwa tarehe 2 Julai 2025 ikionyesha bango la Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 uliofunguliwa Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Ukiwa na kaulimbiu ya "Kujenga Miji Rafiki ya Kidijitali", Mkutano wa Uchumi wa Kidijitali Duniani 2025 umefunguliwa rasmi Beijing jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha