Rais Xi asisitiza mageuzi ya uchumi unaotegemea rasilimali, kusukuma mbele mambo ya kisasa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiweka kikapu cha maua kutoa heshima kwa wahanga kwenye mnara wa kihistoria wa kukumbuka wahanga wa Kampeni ya Rejimenti 105 ya kupingana vita na wavamizi wa Japan, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Julai 7, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

TAIYUAN - Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) wakati wa ziara yake ya ukaguzi katika Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China kuanzia Jumatatu hadi Jumanne ametoa wito kwa mkoa huo kuhimiza zaidi mageuzi na uendelezaji wa uchumi unaotegemea rasilimali na kujitahidi kuandika ukurasa mpya wa kuendeleza mambo ya kisasa ya China.

Jumatatu alasiri, Rais Xi alitembelea mnara wa kihistoria katika Mji wa Yangquan na kutoa heshima kwa mashujaa wa Jeshi la Njia ya Nane waliojitolea mihanga katika Kampeni ya Rejimenti 105 ya kupigana vita na wavamizi wa Japan. Kampeni hiyo ilifanyika kaskazini mwa China kati ya Agosti 1940 na Januari 1941 wakati wa Vita vya Watu wa China wa Kupambana na Uvamizi wa Japan.

Rais Xi ameielezea kampeni hiyo imeonesha vya kutosha umuhimu wa chama cha CPC kilichokuwa nguzo ya vita vya watu wa nchi nzima vya kupambana na uvamizi wa Japan, na ametoa wito wa kurithisha moyo mkuu wa kupambana na uvamizi kizazi hadi kizazi.

Alipokuwa akikagua Kampuni ya Vali ya Yangquan, Rais Xi alifahamishwa kuhusu maendeleo ya mkoa huo katika kufanya mageuzi na kubadilisha muundo wa viwanda katika miaka ya hivi karibuni, na pia alifahamishwa kuhusu uzalishaji na mauzo ya baadhi ya bidhaa za vali kwenye karakana ya kampuni hiyo.

Amesisitiza kuwa viwanda vya kijadi ni sehemu muhimu ya uchumi halisi, ni lazima kufanya juhudi za kufuata mahitaji ya soko na kuimarisha uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia ili viwanda vya kijadi vioneshe nguvu mpya ya uhai.

Jana Jumanne asubuhi, baada ya kusikiliza ripoti ya kazi kutoka kwa Kamati ya Chama ya Mkoa wa Shanxi na serikali ya mkoa huo, Rais Xi ametoa matakwa juu ya kazi ya baadaye ya mkoa huo.

Amesema kuwa kujenga eneo la majaribio la kitaifa la mageuzi ya kina kwa ajili ya mageuzi ya uchumi unaotegemea rasilimali ni kazi ya kimkakati iliyokabidhiwa Shanxi na Kamati Kuu ya Chama .

"Pamoja na kuhakikisha usambazaji wa makaa ya mawe kwa ajili ya uzalishaji wa umeme nchini, jitihada zinapaswa kufanywa kwa kuhimiza viwanda vya makaa ya mawe viendelezwe kutoka hali ya chini hadi ya hali ya juu, na kuzifanya bidhaa za makaa ya mawe ziwe bidhaa zenye thamani kubwa kutoka nishati ya msingi tu," Rais Xi amesema.

Pia ni lazima kufanya juhudi za kusukuma mbele mageuzi na kubadilisha muundo wa viwanda vya kijadi ili vipande ngazi ya juu, na kufanya mpango wa kuendeleza viwanda vinavyojitokeza na viwanda vya siku za baadaye kwa kulingana na hali ya mkoa huo ili kukuza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora.

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiweka kikapu cha maua kutoa heshima kwa wahanga kwenye mnara wa kihistoria wa kukumbuka wahanga wa Kampeni ya Rejimenti 105 ya   kupigana vita na wavamizi wa Japan, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Julai 7, 2025. (Xinhua/Yan Yan)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akitembelea jumba la makumbusho la Kampeni ya Rejimenti 105 ya kupigana vita na wavamizi wa Japan, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Julai 7, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akitembelea jumba la makumbusho la Kampeni ya Rejimenti 105 ya kupigana vita na wavamizi wa Japan, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Julai 7, 2025. (Xinhua/Yan Yan)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akizungumza na wanafunzi na wafanyakazi kwenye jumba la makumbusho la Kampeni ya Rejimenti 105 ya   kupigana vita na wavamizi wa Japan, wakati alipofanya ziara ya kukagua Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Julai 7, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha