Muziki mkuu wa Vipindi vya TV vya PLA "Kusonga Mbele" vyatolewa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2025

Mfululizo wa vipindi vitano vya TV, "Kusonga Mbele" (Forging ahead), vimepangwa kuanza kuonyeshwa kwenye Televisheni Kuu ya China (China Central Television, CCTV), ambayo ni shirika la utangazaji la Serikali ya China, Ijumaa wiki hii, Agosti Mosi, ukiadhimisha miaka 98 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA).

PLA imetoa muziki mkuu wa mfululizo huo wa vipindi vya TV, na vifaa vingi vikuu vya kijeshi vinaonekana kwenye video ya muziki huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha