Mandhari ya Kipekee ya Karst katika Mkoa wa Guizhou yavutia watalii

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2025
Mandhari ya Kipekee ya Karst katika Mkoa wa Guizhou yavutia watalii
Picha iliyopigwa kwa droni Julai 22, 2025 ikionyesha mtalii akicheza "bembea kubwa sana" kwenye shimo kubwa la kuzama katika Wilaya ya Kaiyang, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Ou Dongqu)

Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China unasifika kwa mandhari yake ya karst ya kijioglafia kwenye ardhi pana, ambayo umaalumu wake ni kuwa na mashimo mengi makubwa ya kuzama, yanayoitwa na wenyeji kwa jina la "tiankeng" au "mashimo ya mbinguni." Mashimo hayo ya asili yanazidi kutambuliwa zaidi kwa thamani yao ya kipekee ya utalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha