

Lugha Nyingine
Daraja refu zaidi duniani laanza kufanyiwa majaribio ya kupitishwa mzigo huko Guizhou kusini magharibi mwa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa kwa droni Agosti 21, 2025 inaonyesha majaribio ya kupitishwa mizigo kwenye Daraja la Huajiang Mkoani Guizhou, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Wenbin) |
GUIYANG -- Wahandisi wameanza majaribio ya kupitishwa mzigo kwenye Daraja la Huajiang lililoko mkoani Guizhou kusini magharibi mwa China, ambalo linatazamiwa kuwa daraja refu zaidi duniani. Daraja hilo lina kimo cha mita 625 kutoka kwenye daraja hadi kwenye maji ya mto. Urefu wake ni mita 2,890, na umbali kati ya nguzo ni mita 1,420, na pia ni daraja kubwa zaidi duniani kujengwa katika eneo la milimani.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma