Viongozi wa nchi mbalimbali waondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushindi ya China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2025
Viongozi wa nchi mbalimbali waondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushindi ya China
Rais Alexander Lukashenko wa Belarus, ambaye yuko mjini Tianjin kuhudhuria Mkutano wa 2025 wa Jumuiya ya Ushirikiano la Shanghai (SCO) anaondoka Tianjin kuelekea Beijing kuhudhuria maadhimisho ya miaka 80 ya ushindi wa mapambano ya watu wa China dhidi ya uvamizi wa Japan na Vita vya dunia vya kupinga Ufashisti, tarehe 1 Septemba 2025. (Xinhua/Huang Bohan)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha