Meli ya kitalii "Star Voyager" yafanya safari ya kwanza katika Kisiwa cha Sanya, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2025
Meli ya kitalii
Picha iliyopigwa Septemba 4, 2025 ikionyesha meli ya kitalii ya "Star Voyager" ya Kampuni ya Star Cruises ikitia nanga kwenye Bandari ya Kimataifa ya Meli za Kitalii ya Kisiwa cha Phoenix cha Sanya mkoani Hainan, kusini mwa China. (Xinhua/Zhao Yingquan)

Meli ya kitalii ya "Star Voyager" ya Kampuni ya Star Cruises iliyobeba watalii takriban 1,200 kutoka nchi na maeneo 16 duniani imefanya safari yake ya kwanza katika Kisiwa cha Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China na kuanzisha usafiri wake wa kwanza katika China Bara.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha