

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Viwanda vya teknolojia ya AI Duniani 2025 yaanza mjini Chongqing, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2025
Maonyesho ya Viwanda vya tenolojia ya AI Duniani 2025 yamenza mwishoni mwa wiki siku ya Ijumaa katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, yakionyesha mafanikio ya hali ya juu yakiwemo ya mifumo ya AI ya kuimarisha afya ya mwili baada ya kuugua, vifaa nyumbulika vinavyoweza kuvaliwa, roboti za kuhudumia wazee, na vifaa rafiki kwa watu wazee.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma