Maonyesho ya Viwanda vya teknolojia ya AI Duniani 2025 yaanza mjini Chongqing, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2025
Maonyesho ya Viwanda vya teknolojia ya AI Duniani 2025 yaanza mjini Chongqing, China
Watembeleaji maonyesho wakitazama mchezo wa masumbwi ya roboti za muundo wa binadamu kwenye Maonyesho ya Viwanda vya teknolojia ya AI Duniani 2025 mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 5, 2025. (Xinhua/Huang Wei)

Maonyesho ya Viwanda vya tenolojia ya AI Duniani 2025 yamenza mwishoni mwa wiki siku ya Ijumaa katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China, yakionyesha mafanikio ya hali ya juu yakiwemo ya mifumo ya AI ya kuimarisha afya ya mwili baada ya kuugua, vifaa nyumbulika vinavyoweza kuvaliwa, roboti za kuhudumia wazee, na vifaa rafiki kwa watu wazee.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha