Shughuli ya kwanza ya Siku ya Kuzunguka Mlima na Ziwa yafanyika kwenye Ziwa Lugu mkoani Sichuan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 17, 2025
Shughuli ya kwanza ya Siku ya Kuzunguka Mlima na Ziwa yafanyika kwenye Ziwa Lugu mkoani Sichuan, China
Picha iliyopigwa Septemba 16, 2025 ikionesha watu wenyeji wakizunguka ziwa kwa mashua katika Wilaya ya Yanyuan ya Eneo linalojiendesha na Kabila la Wayi la Liangshan, Mkoa wa Sichuan Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Jiang Hongjing)

Shughuli ya kwanza ya Siku ya kuzunguka mlima na ziwa imefanyika huko Liangshan jana Jumanne. Kuzunguka mlima na ziwa ni desturi muhimu kwa Wamosuo wanaoishi karibu na Ziwa Lugu. Kuanzia mwaka huu, Eneo la Liangshan limeweka rasmi siku ya tarehe 5 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya kilimo ya China kuwa Siku ya Kuzunguka Mlima na Ziwa, na kuifanya iwe siku rasmi ya mapumziko ya watu wa eneo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha