Likizo ya siku nane nchini China yashuhudia mtiririko wa watu, matumizi ambayo hayajapata kuonekana nchi nzima (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
Likizo ya siku nane nchini China yashuhudia mtiririko wa watu, matumizi ambayo hayajapata kuonekana nchi nzima
Mtalii akijifunza kuchora picha za kwenye ubao bapa katika kituo cha kujionea na kujaribu utamaduni cha Dunhuang, mjini Dunhuang, Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, Oktoba 4, 2025. (Picha na Zhang Xiaoliang/Xinhua)

Wakati likizo za Siku ya Taifa ya China na ile ya Sikukuu ya Mbalamwezi ya China zikitokea kwa wakati mmoja, shughuli za kitamaduni, mtandao wa usafiri wenye pilika nyingi na mazingira ya matumizi ya kivumbuzi ya China vinatoa picha halisi ya uhimilivu wa uchumi na uwezo mkubwa wa ukuaji wa nchi hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha