Likizo ya siku nane nchini China yashuhudia mtiririko wa watu, matumizi ambayo hayajapata kuonekana nchi nzima

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
Likizo ya siku nane nchini China yashuhudia mtiririko wa watu, matumizi ambayo hayajapata kuonekana nchi nzima
Watu wakitazama onyesho la mwanga wa droni lililofanyika kusherehekea Siku ya Taifa ya China katika Eneo la Nan'an ya Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, Oktoba 1, 2025. (Xinhua/Huang Wei)

Wakati likizo za Siku ya Taifa ya China na ile ya Sikukuu ya Mbalamwezi ya China zikitokea kwa wakati mmoja, shughuli za kitamaduni, mtandao wa usafiri wenye pilika nyingi na mazingira ya matumizi ya kivumbuzi ya China vinatoa picha halisi ya uhimilivu wa uchumi na uwezo mkubwa wa ukuaji wa nchi hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha