

Lugha Nyingine
Wanafunzi wa Kimataifa wajifunza matibabu ya jadi ya China mkoani Anhui, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2025
Wanafunzi zaidi ya 140 kutoka nchi mbalimbali duniani wanasoma nadharia ya matibabu ya jadi ya China katika Chuo cha Mawasiliano ya Kitamaduni na Elimu ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Matibabu ya Jadi na Dawa za China cha Anhui. Chuo hiki kinaweka masomo ya kutumia lugha mbili kwa wanafunzi wa kimataifa kusoma nadharia huku kukifanya uzoefu wa kufanya matibabu ya jadi ya China. Wakati huo huo, shughuli mbalimbali za kitamaduni zimekuwa zikiandaliwa kwa ajili yao ili kuongeza uelewa wao juu ya matibabu ya jadi ya China.
Hadi kufikia sasa, baadhi ya wahitimu wameondoka China na kurudi nyumbani, na wanafanya kazi katika huduma za afya za nchi zao mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma