Muonekano wa Jumba la Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wahan katika Wilaya ya Hepu, Guangxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2025
Muonekano wa Jumba la Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wahan katika Wilaya ya Hepu, Guangxi, China
Watalii wakitembelea Jumba la Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wahan katika Wilaya ya Hepu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Oktoba 21, 2025. (Xinhua/Zhou Jiayi)

Jumba la Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wahan katika Wilaya ya Hepu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, lililoanzishwa mwaka 1978, linaonesha zaidi mabaki ya kihistoria na kitamaduni ya Njia ya Hariri ya Baharini ya wakati wa Enzi ya Han (202 B.C.-220 A.D.). Eneo la Jumba hilo la makumbusho limefikia mita za mraba 13,300, na vitu na seti za mabaki ya kitamaduni 5,208 vinahifadhiwa kwenye jumba hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha