Lugha Nyingine
Shehena ya kwanza ya vitu vya kuoneshwa yawasili kwenye ukumbi mkuu wa Maonyesho ya Uagizaji Bidhaa ya China mjini Shanghai
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2025
Shehena ya kwanza ya vitu vya kuoneshwa kwenye maeneo ya maonyesho ya Viwanda vya Teknolojia za AI na za Kupashana Habari, Vyakula na mazao ya Kilimo, na Zana na Vifaa vya Matibabu na Bidhaa za Kulinda Afya ya Watu ya Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) imewasili katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shanghai jana Alhamisi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




