Mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa China wawezesha hali ya usambazaji nishati ya Afrika Kusini (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2025
Mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa China wawezesha hali ya usambazaji nishati ya Afrika Kusini
Picha hii iliyopigwa Oktoba 22, 2025 ikionyesha kituo kidogo cha umeme na mitambo ya kuzalisha umeme kwa upepo ya Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Upepo wa De Aar huko De Aar, Northern Cape, Afrika Kusini. (Xinhua/Han Xu)

Ili kuimarisha maendeleo ya kijani barani Afrika, China imekuwa ikisaidia nchi kadhaa za bara hilo katika kujenga miradi mbalimbali ya nishati safi.

Shamba la Kuzalisha Umeme kwa Upepo la De Aar limebadilisha hali ya usambazaji nishati ya Afrika Kusini. Ukiwa ni mradi wa kwanza wa kuzalisha umeme kwa upepo uliofadhiliwa, kujengwa na kuendeshwa na kampuni ya China barani Afrika, umetoa umeme safi wa 760 kilowati-kwa saa kwa mwaka, ukikidhi mahitaji ya umeme ya familia 300,000. Shamba hilo limesaidia kuziba pengo linalosababishwa na nishati safi isiyo tulivu na kutatua tatizo la uhaba wa umeme nchini Afrika Kusini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha