Hafla ya Kuapishwa kwa Watu wa Kujitolea wa Maonyesho yajayo ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya China yafanyika Shanghai (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2025
Hafla ya Kuapishwa kwa Watu wa Kujitolea wa Maonyesho yajayo ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya China yafanyika Shanghai
Wahudhuriaji wakijipiga picha ya selfie kabla ya hafla ya kuapishwa kwa watu wa kujitolea wa Maonyesho yajayo ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) kwenye Kituo cha Maonyesho cha Shanghai, Oktoba 29, 2025. (Xinhua/Liu Ying)

Hafla ya kuapishwa kwa watu wa kujitolea wa Maonyesho yajayo ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) imefanyika jana Jumatano Oktoba 29, 2025 kwenye Kituo cha Maonyesho cha Shanghai, mashariki mwa China.

Watu hao wa kujitolea watatoa huduma mbalimbali zikiwemo za kutoa uelekezaji na ushauri, kufanya uandikishaji na usimamizi, kutoa uungaji mkono kwa uenezi wa habari, kufanya uchambuzi wa takwimu za miamala, na kutoa msaada wa matibabu wakati wa maonyesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha