Paul Biya aapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa awamu mpya ya miaka 7 (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2025
Paul Biya aapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa awamu mpya ya miaka 7
Rais wa Cameroon Paul Biya (katikati) akizungumza katika hafla ya kuapishwa huko Yaounde, mji mkuu wa Cameroon, Novemba 6, 2025. (Xinhua/Kepseu)

Paul Biya ameapishwa rasmi jana Alhamisi kuwa Rais wa Cameroon kwa awamu mpya ya miaka saba baada ya kupata asilimia 53.66 ya kura zote halali zilizopigwa kwenye uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 12 nchini humo.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha