Kampuni za viwanda kutoka nchi 123 washirika wa Ukanda Mmoja, Njia Moja zashiriki katika CIIE

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2025
Kampuni za viwanda kutoka nchi 123 washirika wa Ukanda Mmoja, Njia Moja zashiriki katika CIIE
Picha hii ikionyesha watu wakipiga picha na chupa za divai kutoka Serbia kwenye eneo la maonyesho ya Vyakula na Mazao ya Kilimo katika Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 7, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yalifunguliwa Jumatano wiki iliyopita mjini Shanghai, mashariki mwa China na yamefikia mwisho leo Jumatatu, Novemba 10. Kwenye maonyesho hayo ya mwaka huu kampuni za viwanda kutoka nchi 123 washirika wa Ukanda Mmoja, Njia Moja zimeshiriki, ikiwa ni ongezeko la asilimia 23.1 ikilinganishwa na maonyesho ya mwaka uliopita. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha