Lugha Nyingine
Uingereza yafanya hafla ya Kumbukumbu ya Jumapili ya kuwaomboleza watu waliofariki vitani wa Uingereza na Jumuiya ya Madola (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2025
![]() |
| Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer akishiriki kwenye hafla ya Kumbukumbu ya Jumapili ya Maombolezo jijini London, Uingereza, Novemba 9, 2025. (Picha na Ray Tang/Xinhua) |
Hafla ya Kumbukumbu ya Jumapili ya Maombolezo imefanyika jana Jumapili, Novemba 9 jijini London, Uingereza. Shughuli hiyo inafanyika kila mwaka ili kutoa heshima kwa watu waliofariki vitani wa Uingereza na Jumuiya ya Madola, kwa kawaida shughuli hiyo inafanyika katika siku ya Jumapili iliyo karibu zaidi na siku ya kumbukumbu ya kukomeshwa kwa Vita vya Kwanza vya Dunia, Novemba 11, 1918.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




