Lugha Nyingine
Mikutano mbalimbali ya Banda la China ya pembezoni mwa Mkutano wa Tabianchi wa COP30 yaanza nchini Brazil
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2025
Juzi Jumatatu, mikutano mbalimbali ya Banda la China ya pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP30) imeanza mjini Belem, Brazil, ambapo umefanyika mkutano wa kwanza wa kufuatilia ustaarabu wa ikolojia na uzoefu wa kujenga "China Inayopendeza" .
Shughuli mfululizo zitaendelea kufanyika hadi Novemba 20, na mkutano unaofuata utahusisha mada kama vile maendeleo yenye sifa bora na kunufaisha pamoja na uzoefu wa soko la kaboni la China, njia ya China kuelekea kilele cha kaboni na usawazishaji wa kaboni, mabadiliko ya muundo wa nishati wa China na maendeleo ya nishati mpya.

(Picha/cfp)

(Picha/cfp)

(Picha/cfp)

(Picha/cfp)
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



