CIIE yahimiza kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2025
CIIE yahimiza kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia
Wageni wakionja divai kwenye banda la Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia wa China katika Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 8, 2025. (Xinhua/Liu Ying)

Maonyesho ya CIIE si tu ni jukwaa la kimataifa la biashara ya bidhaa na huduma bali pia ni tukio kubwa la kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha