Ardhi Oevu ya Mto Manjano ya Pinglu Kaskazini-Magharibi mwa China yakaribisha batamaji wa mwituni wanaohamahama (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 14, 2025
Ardhi Oevu ya Mto Manjano ya Pinglu Kaskazini-Magharibi mwa China yakaribisha batamaji wa mwituni wanaohamahama
Batamaji weupe wakionekana kwenye Ardhi Oevu ya Mto Manjano ya Pinglu katika Wilaya ya Pinglu ya Yuncheng, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, Novemba 12, 2025. (Xinhua/Cao Yang)

Ardhi Oevu ya Mto Manjano ya Pinglu katika Wilaya ya Pinglu, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, ukubwa wa eneo lake umefikia hekta zaidi ya 6,000, eneo hilo lina hali ya hewa nzuri na chakula kingi, na ni moja ya makazi ya majira ya baridi kwa batamaji weupe nchini China. Batamaji wa mwituni wanaohamahama kutoka Siberia ya Russia huwa wanakuja kwenye ardhi hiyo oevu na kushinda wakati wa majira ya baridi kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha