Bandari ya Reli ya Tongjiang yaibuka kuwa sehemu muhimu ya ushoroba wa mashariki wa huduma ya treni ya mizigo ya China-Ulaya (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2025
Bandari ya Reli ya Tongjiang yaibuka kuwa sehemu muhimu ya ushoroba wa mashariki wa huduma ya treni ya mizigo ya China-Ulaya
Picha hii iliyopigwa Novemba 14, 2025 ikionyesha treni ya mizigo inayotoa huduma kati ya China na Ulaya ikiingia kwenye Stesheni ya Reli ya Tongjiang Kaskazini katika Mji wa Tongjiang, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Picha na Wu Yunan/Xinhua)

Takwimu zilizotolewa na Kampuni ya Kundi la Idara ya Harbin la Reli la China zimeonesha kuwa, Bandari ya Reli ya Tongjiang ya Mji wa Tongjiang ikiwa ni sehemu muhimu ya ushoroba wa mashariki wa huduma ya treni ya mizigo ya kati ya China na Ulaya, imeshughulikia usafiri wa treni 273 za mizigo za kati ya China na Ulaya tangu ilipozinduliwa mwaka 2022, zikiwa zimebeba tani zaidi ya milioni 14 za bidhaa za kuagizwa na kuuzwa nje.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha