Lugha Nyingine
Wiki ya uenezaji chapa za mali za urithi wa utamaduni usioshikika yafunguliwa Dali katika Mkoa wa Yunnan, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2025
![]() |
| Picha iliyopigwa Novemba 23, 2025 ikionyesha shughuli ya wiki ya uenezaji wa chapa za mali za urithi wa utamaduni usioshikika mjini Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Hu Chao) |
Chapa zaidi ya 120 za mali za urithi wa utamaduni usioshikika zinashiriki kwenye Wiki ya Uenezaji Chapa za Mali za Urithi wa Utamaduni usioshikika iliyofunguliwa rasmi mjini Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China jana Jumapili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




