Wiki ya uenezaji chapa za mali za urithi wa utamaduni usioshikika yafunguliwa Dali katika Mkoa wa Yunnan, China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2025
Wiki ya uenezaji chapa za mali za urithi wa utamaduni usioshikika yafunguliwa Dali katika Mkoa wa Yunnan, China
Mfanyakazi akionyesha ustadi wa kutengeneza branketi la Dulong wakati wa wiki ya uenezaji wa chapa za urithi wa utamaduni usioshikika mjini Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China, Novemba 23, 2025. (Xinhua/Hu Chao)

Chapa zaidi ya 120 za mali za urithi wa utamaduni usioshikika zinashiriki kwenye Wiki ya Uenezaji Chapa za Mali za Urithi wa Utamaduni usioshikika iliyofunguliwa rasmi mjini Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China jana Jumapili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha