Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2025
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China
Picha iliyopigwa Novemba 23, 2025 ikionyesha watu wakifurahia muda wao wa mapumziko chini ya miti ya ginkgo katika Kijiji cha Tongziao cha Wilaya ya Shuangpai ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Xinhua/Zhao Zhongzhi)

Miti zaidi ya 3,000 ya ginkgo katika Kijiji cha Tongziao cha Wilaya ya Shuangpai ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China imekuwa ikibadilika kuwa ya rangi ya dhahabu siku hadi siku , ikivutia watalii wengi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha