Lugha Nyingine
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2025
![]() |
| Mtalii akijipiga picha ya selfie chini ya mti wa ginkgo katika Kijiji cha Tongziao cha Wilaya ya Shuangpai ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Novemba 23, 2025. (Xinhua/Zhao Zhongzhi) |
Miti zaidi ya 3,000 ya ginkgo katika Kijiji cha Tongziao cha Wilaya ya Shuangpai ya Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China imekuwa ikibadilika kuwa ya rangi ya dhahabu siku hadi siku , ikivutia watalii wengi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




