Lugha Nyingine
Daraja refu zaidi duniani la China lafanya utalii wa ndani kuwa kwenye kiwango kipya (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2025
Daraja la Genge Kubwa la Huajiang, linaloinuka kwa mita 625 juu ya Mto Beipan katika eneo la milimani la Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China ni daraja refu zaidi duniani. Eneo la huduma la Yundu lililo karibu na daraja hilo lina jengo la kutoa huduma mbalimbali za kutazama daraja, kucheza michezo na huduma nyingine za utalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




