Mradi wa madarasa ya usiku wastawisha maisha ya vijana katika Mji wa Ningbo, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2025
Mradi wa madarasa ya usiku wastawisha maisha ya vijana katika Mji wa Ningbo, China
Mwalimu (katikati) akimwelekeza mkazi kupiga guqin, ala ya muziki ya jadi ya China yenye nyuzi saba, kwenye darasa la usiku katika kituo cha shughuli za vijana katika Eneo la Jiangbei la Ningbo, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Novemba 26, 2025. (Xinhua/Jiang Han)

Kuanzia mwaka 2024, Eneo la Jiangbei la Mji wa Ningbo, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China likifungamanisha rasilimali za elimu na mafunzo kutoka vyuo vikuu, hospitali, ofisi za wanasheria, na viwanda na mashirika mengine mbalimbali katika madarasa ya usiku, limekuwa likitoa mafunzo mbalimbali ya lugha za kigeni, densi, muziki na usanifu wa mtindo. Mpaka sasa wakazi wapatao zaidi ya 9,600 wamejiandikisha katika madarasa hayo ya usiku. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha