Daraja la Xinshengwei la Mto Yangtze mjini Nanjing Mkoani Jiangsu, China laanza kutumika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2025
Daraja la Xinshengwei la Mto Yangtze mjini Nanjing Mkoani Jiangsu, China laanza kutumika
Picha iliyopigwa Novemba 26, 2025 ikionyesha Daraja la Xinshengwei la Mto Yangtze mjini Nanjing, Mkoani Jiangsu, mashariki mwa China. (Xinhua/Mao Juni)

Daraja la Nanjing Xinshengwei la Mto Yangtze mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China limefunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma jana Jumatano. Likiwa na urefu wa kilomita takriban 13.17, daraja hilo lina barabara kuu yenye njia tatu za magari kila upande na kasi ya usanifu ya kilomita 80 kwa saa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha