Lugha Nyingine
Mji wa Hefei katika Mkoa wa Anhui wa China wahimiza maendeleo ya viwanda vya roboti za kisasa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 28, 2025
![]() |
| Mhandisi akitazama roboti yenye umbo la binadamu ikichukua kifaa kwenye maabara ya Kampuni ya Mambo ya Roboti ya Leju mjini Hefei, Mkoani Anhui, mashariki mwa China, Oktoba 24, 2025.(Xinhua/Zhou Mu) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Hefei katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China umekuwa ukihimiza kwa bidii maendeleo ya viwanda vyake vya roboti za kisasa. Mji huo sasa umeunda mnyororo kamili wa viwanda kwa ajili ya utafiti, maendeleo na uundaji wa roboti ambao unajumuisha kampuni husika 190.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




