Idadi ya watu waliofariki kutokana na hali mbaya ya hewa nchini Sri Lanka yaongezeka hadi 410

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 03, 2025

Watu walioathiriwa na mafuriko wakisafirishwa hadi maeneo salama kwa mashua mjini Colombo, Sri Lanka, Desemba 1, 2025. (Picha na Gayan Sameera/Xinhua)

COLOMBO - Kituo cha Usimamizi wa Maafa cha Sri Lanka kimesema jana Jumanne kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na hali mbaya ya hewa inayoikumba nchi hiyo imeongezeka hadi kufikia watu 410, huku wengine 336 bado hawajajulikana walipo.

Waokoaji wakisambaza maji ya chupa kwa watu walioathiriwa na mafuriko mjini Colombo, Sri Lanka, Desemba 1, 2025. (Picha na Gayan Sameera/Xinhua)

Mashua ya uokoaji ikisafirishwa kwa lori la kreni kupita mtaa uliofurika maji mjini Colombo, Sri Lanka, Desemba 1, 2025. (Picha na Gayan Sameera/Xinhua)

Watu wakipita katika eneo lililofurika maji mjini Colombo, Sri Lanka, Desemba 1, 2025. (Picha na Gayan Sameera/Xinhua)

Picha hii iliyopigwa Desemba 1, 2025 ikionyesha eneo lililofurika maji mjini Colombo, Sri Lanka. (Picha na Gayan Sameera/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha