Lugha Nyingine
Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2025
![]() |
| Wakulima wa maua wakitunza maua kwenye kituo cha kupanda maua katika Eneo la Luancheng la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Novemba 30, 2025. (Picha na Chen Qibao/Xinhua) |
Maua yapatayo 200,000 ya aina mbalimbali yamechanua kwenye kituo cha kupanda maua katika Eneo la Luancheng la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. Maua hayo yatasambazwa sokoni baada ya kuchaguliwa na wakulima.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




