Russia yasema hakuna mpango wa kulegeza misimamo kwa vita vya Ukraine baada ya mkutano kati ya Rais Putin na Mjumbe wa Marekani

(CRI Online) Desemba 03, 2025

Shirika la Habari la Russia, TASS likimnukuu Yuri Ushakov, Msaidizi wa Rais wa Russia leo Jumatano limeripoti kwamba, hakukuwa tena na mpango wa kulegeza misimamo kwa ajili ya utatuzi wa suala la Ukraine baada ya mazungumzo kati ya Rais Vladimir Putin wa Russia na mjumbe maalumu wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati Steve Witkoff yaliyofanyika kwenye Ikulu ya Kremlin, Russia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha