Maelezo kuhusu Uendeshaji Maalumu wa Forodha wa Bandari ya Biashara Huria ya Hainan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2025

Habari kubwa! Tarehe 18, Desemba, 2025, Uendeshaji Maalumu wa Forodha wa Bandari ya Biashara Huria ya Hainan utaanza rasmi. Leo nitatumia dakika kadhaa za maswali na majibu kukufahamisha uendeshaji huo maalumu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha