Lugha Nyingine
McDonald's yapanua uwepo wake katika maeneo yote ya ngazi ya mkoa ya China Bara

Wateja wakila chakula cha jioni kwenye mgahawa wa kwanza wa McDonald's katika Mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa China uliopo kwenye Eneo Jipya la Haihu la Mji wa Xining, mji mkuu wa mkoa huo, Desemba 21, 2025. (Xinhua/Xie Tongqiang)
XINING - Kampuni kubwa ya kutoa huduma ya haraka ya vyakula ya McDonald's imefungua migahawa yake ya kwanza katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia na Mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa China mwishoni mwa wiki iliyopita, ikipanua uwepo wa chapa hiyo katika maeneo yote ya ngazi ya mkoa ya China Bara.
Siku ya Jumamosi, McDonald's ilitangaza kuingia kwake Yinchuan, mji mkuu wa Mkoa wa Ningxia, kwa kufungua migahawa mitatu katika maeneo ya kati ya biashara ya mji huo.

Picha iliyopigwa Desemba 21, 2025 ikionyesha mgahawa wa kwanza wa McDonald's katika Mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa China uliopo kwenye Eneo Jipya la Haihu la Mji wa Xining, mji mkuu wa mkoa huo. (Xinhua/Xie Tongqiang)

Wateja wakitembelea mgahawa wa kwanza wa McDonald's katika Mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa China uliopo kwenye Eneo Jipya la Haihu la Mji wa Xining, mji mkuu wa mkoa huo, Desemba 21, 2025. (Xinhua/Xie Tongqiang)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



