Sanamu ya Alama ya Maonyesho ya 38 ya Sanaa za Uchongaji wa Theluji ya Kisiwa cha Jua, China yaonyeshwa kwa umma

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2025
Sanamu ya Alama ya Maonyesho ya 38 ya Sanaa za Uchongaji wa Theluji ya Kisiwa cha Jua, China yaonyeshwa kwa umma
Picha iliyopigwa Desemba 9, 2025 ikionyesha sanamu ya theluji "Mr. Snowman" kwenye eneo la vivutio vya utalii la Kisiwa cha Jua huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China.

"Mr. Snowman" ni sanamu ya theluji ya alama ya Maonyesho ya 38 ya Sanaa za Uchongaji wa Theluji ya Kisiwa cha Jua. Sanamu hiyo yenye urefu wa mita 23.8 iliyotengenezwa kwa theluji zenye mita za ujazo 5,000, imeonyeshwa rasmi kwa umma jana Jumanne kwenye eneo la vivutio vya utalii la Kisiwa cha Jua huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha