Lugha Nyingine
Rais Xi kutoa hotuba ya Mwaka Mpya kuukaribisha mwaka 2026
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2025
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping atatoa hotuba ya Mwaka Mpya saa 1 jioni leo Jumatano kwa saa za Beijing kuukaribisha mwaka 2026.
Hotuba hiyo itatangazwa kwenye chaneli kuu za TV na redio za Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG), na tovuti na majukwaa ya vyombo vipya vya habari vya mashirika makubwa ya habari yakiwemo ya People's Daily na Shirika la Habari la China, Xinhua.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



