Jukwaa jipya la kutazamia mandhari laonyesha mandhari ya mji wa Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 22, 2025
Jukwaa jipya la kutazamia mandhari laonyesha mandhari ya mji wa Tianjin, China
Picha iliyopigwa Desemba 20, 2025 ikionyesha watembeleaji wakifurahia mandhari ya mji wakati wa usiku kwenye jukwaa la kutazamia mandhari la Jinwan Yunding katika Eneo la Heping la Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua)

Hivi karibuni, jukwaa la kutazamia mandhari la Jinwan Yunding, lililoko kwenye Uwanja wa Jinwan katika Eneo la Heping la Mji wa Tianjin, kaskazini mwa China limeanza rasmi kuhudumia umma. Watembeleaji wanaweza kupanda hadi kwenye paa lenye urefu wa mita 300 ili kutazama mandhari ya mji wa Tianjin.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha