Bandari ya Tianjin, China yashuhudia uendeshaji tulivu wakati wa likizo ya Mwaka Mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2026
Bandari ya Tianjin, China yashuhudia uendeshaji tulivu wakati wa likizo ya Mwaka Mpya
Picha iliyopigwa Januari 2, 2026 ikionyesha meli ya mizigo ikiondoka kutoka gati la kampuni tanzu ya Kampuni hodhi ya Tianjin Port katika Bandari ya Tianjin kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Bandari ya Tianjin ya Mji wa Tianjin kaskazini mwa China imeshuhudia hali ya pilika nyingi wakati wa mapumziko ya Mwaka Mpya wa 2026, ambapo meli nyingi zinatia nanga moja baada ya nyingine zikipakua makontena, hali ambayo imeonesha mwanzo mpya wa mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha